tangazo

Hali ilivyo uwanja wa Taifa muda huu/ Mashabiki wa Simba watamba, Shiboub, Chama watajwa


Jumapili ya leo katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam Simba SC wanatarajiwa kucheza mchezo wa marudiano na UD Songo ya Msumbiji katika mchezo wa klabu bingwa Afrika majira ya saa 10 jioni. Mashabiki wa Simba wametamba kushinda mchezo huo kwa mabao matano.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE

Post a Comment

0 Comments