NASA Yadhibitisha safari ya mwezini

Wanasayansi kuchunguza ikiwa mwezi ni mahala wanapoweza kuishi viumbe

Europa ClipperHaki miliki ya pichaNASA
Image captionMuundo: Chombo cha Uropa kitajaribu kubaini juu ya ikiwa mwezi unaweza kuwa mahala wanapoishi viumbe
Wanasayansi wanaoshughulikiwa safari ya mwezi wa Uropa wanaweza kuendelea na muundo wa mwisho na ujezi wa chombo cha anga za mbali , Nasa imesema
Wanasayansi wa Ulaya watalenga mwezi wa sayari ya Jupiter uliozingirwa na barafu , ambao unachukuliwa kama lengo kuu katika utafiti juu ya maisha nje ya dunia.
Chini ya kokwa lake la barafu , Europa unadhaniwa kuwa na kima cha maji cha kilomita 170.
Hii inaweza kuufanya mwezi kuwa na hali inayofaa ya kibaiolojia.
Safari za anga ya chombo cha anga za mabli cha Uropa zinatarajiwa kuzinduliwa 2025, na sasa shughuli za chombo hicho zimefikia hatua inayoitwa Kituo Muhimu cha Uamuzi C -Key Decision Point C, ikiwa ni hatua muhimu ya chombo kuweza kuanza safari yake ya anga za mbali.
"Tnafuraha kubwa kuhusu uamuzi kwamba tumepiga hatua inayokaribia kukiwezesha chombo cha anga za mbali cha Uropa ya kufichua taarifa zisizojulikana katika dunia hii ya bahari ," alisema Thomas Zurbuchen afisa utawala anayehusika na masuala ya sayansi ya safari za anga katika Nasa'.
Chombo cha Eropa a kitafanya uchunguzi w akina katika dunia ya maji, mkiwemo kuhusu ikiwa kunaweza kuwa na maisha katika sakafu ya maji.
Mahusiano ya nguvu asiliana na sayari ya Jupita hutengeneza mvuto na joto, ambavyo vinaifanya kuwepo kimiminika katika bahari ya Eropa. Joto linaweza hata kusababisha matukio ya volkano hekwenye sakafu ya bahari ; kwenye dunia, mfumo huo wa matukio unawezesha kwa kiasi kikubwa kuundwa kwa maisha ya viumbe .
Lakini inachukua miongo kufikia mafanikio yaliyofikiwa sasa , kwa kiasi fulani kwasababu ya gharama inayotumiwa na changamoto za uwepo wa chombo cha anga katika mazingira ya Jupita.
Uzio wa mapito ya chombo cha Eropa unakipeleka chombo hicho chini sana ambako kuna mtetemo mkubwa kuliko ule unaozingira sayari kubwa. Mtetemo huu huwezesha kupaa kwa vyombo vya anga vya kielekroniki , ambavyo hupunguza muda wa safari za anga hadi miezi au hata wiki.
Kwa hivyo badala ya kukizungusha chombo cha Europa kwenye uzio , chombo kitazunguka mwezi mara mbili, ili kupunguza uwezekano wake wa kukwama karibu na sayari ya Jupita.

View of Europa taken in the 1990s by the Galileo spacecraftHaki miliki ya pichaNASA/JPL-CALTECH/SETI INSTITUTE
Image captionEropa unashikilia , bahari ya chumvi chini ya uzio wake wa barafu

Chombo hicho cha anga za mbali kitabeba vifaa tisa vya kisaynsi ,mkiwemo kamera na spectrometers zitakazosaidia kuvuta picha za mbali za sakafu ya mwezi , kifaa cha mvuto mithili ya sumaku -magnetometer kwa ajili ya kupima nguvu na mwelekeo wa eneo lenye sumaku.
Eneo la brafu linaweza kuwa na unene wenye kilomita makumi kadhaa . kwa bahati nzuri, wanasayansi wanafikiri kuna nji kadhaa kwa amaji ya bahari za kutoka kwenye sakafu ya mwezi wa Uropa . Katika miaka ya hivi karibuni , darubini ya anga za mbali ilifanya uchunguzi wa maji ya barafu yaliyolipuka kutoka chini ya Uropa, zaidi ya vile yafanyavyo katika barafu ya sayari ya Saturn, ambayo pia ina sakafu.
Dhana ya kwanza kutoka kwa vituo vya safari ya anga ya kuelewa zaidi ujenzi wa uropa ilianzishwa miaka ya 1990, wakati huo data kutoka kwa chombo cha anga za mbali cha Galileo zilisaidia kujenga ushahidi wa kuwepo kwa sakafu katika maji yake . Tangu wakati huo, hata hivyo , pendekezo moja baada ya jingine yamekuwa yakitolewa, mkiwemo kuwepo kwa ushirikiano kabambe wa Marekani na Ulaya katika uvumbuzi huo uliotambuliwa kama Cassini-Huygens mission.
Nasa inasema mwezi unasinyaa kama zabibu iliyokauka, kwanini?
Lakini chombo cha anga za mbali cha Clipper kimepewa umuhimu katika bunge la Marekani Capitol Hill, ambapo mbunge wa Republican legislator John Culberson ambaye kama mwenyekiti wa Bunge la wawakilishi la Marekani inayofadhili kituo cha Nasa .
Pendekezo la kuunga mkono ufuatiliaji wa mchakato wa safari ya chombo cha Uropa na kutua kwake pia limetolewa na Marekani Lakini ombo la bajeti ya hivi karibuni ya serikali fhaikuhusisha ktua kwa chombo hicho.

Post a Comment

0 Comments