tangazo

VIDEO: Msemaji wa serikali afunguka sakata la kukamatwa kwa ndege ya Air Tanzania


Serikali imewasilisha hoja tatu za nguvu katika mahakama ya Afrika Kusini, kuhusu zuio la ndege ya shirika la ATCL, pia amewatahadharisha watanzania wanaoihujumu serikali kwenye hili swala la ndege kuzuiwa na kusema watafunguliwa kesi ya uhujumu uchumi.


Post a Comment

0 Comments