tangazo

Lionel Messi achaguliwa kuwa Mchezaji bora wa Kimataifa 2019


Lionel Messi amepigiwa kura na kuchaguliwa kuwa Mchezaji bora wa Kimataifa kwa mwaka 2019, kwenye tuzo za ESPY.

Tuzo za ESPY (Excellence in Sports Performance Yearly Award) zinazolenga kutambua Utendaji bora wa wanamichezo kwa kila mwaka. Ni tuzo zinatolewa kwa sasa na kituo cha matangazo ya runinga Amerika (ABC) na hapo awali ESPN.

Ikubukwe Messi alikuwa mfungaji Bora: Laliga (Mabao 36), Uefa Champions League (Mabao 10) na mfungaji bora Ulaya (mabao 51).


Post a Comment

0 Comments