Makamu wa Rais asaini Kitabu cha Maombolezo Ubalozi wa Zimbabwe


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akitia saini kitabu cha kumbukumbu ya Maombolezo kufuatia kifo cha aliyekuwa Rais wa Zimbabwe Mzee Robert Mugabe alipofika katika Ubalozi wa Zimbabwe Oysterbay Jijini Dar es Salaam leo Sept 12, 2019
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Naibu Balozi wa Zimbabwe Nchini Mhe. Martin Tavenyika alipofika katika Ofisi ya Ubalozi wa Zimbabwe Nchini Tanzanai kwa ajili ya kutia saini kitabu cha kumbukumbu ya Maombolezo kufuatia kifo cha aliyekuwa Rais wa Zimbabwe Mzee Robert Mugabe alipofika katika Ubalozi wa Zimbabwe Oysterbay Jijini Dar Es Salaam leo Sept 12, 2019

Post a Comment

0 Comments