tangazo

Mrithi wa Lissu aapishwa, Spika Ndugai atoa neno


Leo Septemba 03, 2019 Bungeni jijini Dodoma, Miraji Mtaturu ameapishwa kuwa Mbunge wa Jimbo la Singida Mashariki kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Amechukua nafasi ya aliyekuwa Mbunge wa Jimbo hilo Tundu Lissu, ambaye alivuliwa Ubunge na ofisi ya Spika wa Bunge.

"Sasa watu wa Singida Mashariki wanaye mwakilishi halisi bungeni."- Spika wa Bunge, Job Ndugai akimkaribisha Mbunge Miraji Mtaturu (CCM) bungeni leo baada ya kuapishwa.

Post a Comment

0 Comments