tangazo

Sababu za ndege kuachiwa “Hoja zote za Mawaikili wetu zimeshinda” (+video)


Leo September 4, 2019 Naibu Waziri wa Mambo ya Nje, Dkt. Ndumbaro akitoa maelezo kuhusu kuachiwa kwa Ndege ya Tanzania iliyokuwa inashilikiawa nchini Afrika Kusini.
“Hoja zote zilizotolewa na mawakili wetu zimeshinda, na tumeshinda kesi hiyo, na imeamriwa ndege hiyo #AirTanzania iweze kuondoka,” Dkt. Damas Ndumbaro, Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki.

NDEGE IMEACHIWA AFRIKA KUSINI, ALIEISHTAKI TANZNIA AAMRIWA ALIPE FIDIA

Post a Comment

0 Comments