tangazo

“Tumewaua majambazi 12, walirusha bomu, tutawatandika iwe funzo” (+video)

Jeshi la Polisi Mkoani Kigoma limefanikiwa kuwaua majambazi 12 katika majibizano ya risasi baina ya majambazi hao na Polisi usiku wa kuamkia katika eneo la mashamba ya kilemba kijiji cha Kalemba Wilayani Kibondo Mkoani Kigoma.

LIVE: ISHU YA EBOLA TANZANIA WAZIRI WA AFYA ANAZUNGUMZA


Post a Comment

0 Comments