tangazo

VIDEO: Adakwa na Polisi akitorosha madini ya Tanzanite aliyoyaficha sehemu za siriKmanda wa Jeshi la polisi Mkoa wa Manyara, Agustino Senga amewataja waliokamatwa ni Issaya Silvanus (UKUKU) 43 Mkazi wa kijiji cha Songambele Mirerani akiwa ameyaficha sehem zake za siri yenye thamani ya shilingi laki 368,310.05 gramu 17 gredi ya chini huku mtuhumiwa mwingine ambaye ni Yohana Alais (Laiza) 40 mkazi wa kijiji cha Kilima hewa Mirerani yenye thamani ya shilingi Milioni 4,549,698.85 sawa na gramu 17 daraja la juu.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI......USISAHAU KUSUBSCRIBE


Post a Comment

0 Comments