tangazo

Yanga yashindwa kutamba nyumbani

 Klabu ya Yanga imetoka sare ya 1-1 na Zesco United katika mshindano ya Ligi ya Mabingwa mchezo uliochezwa kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

FT: Yanga SC 1-1 Zesco United

Post a Comment

0 Comments