tangazo

Yanga yaunda kamati ya hamasa, Wolper, Uwoya wachaguliwa


Mwenyekiti wa Klabu ya Yanga Dkt. Mshindo Msolla kwa kushirikiana na Kamati ya Utendaji ya klabu hiyo ameteua Kamati ya Kudumu ya Hamasa yenye wajumbe 21 ikiongozwa na Suma Mwaitenda katibu wake akiwa Deo Mutta.

Baadhi ya wajumbe walioteuliwa kuingia kwenye kamati hiyo ni Irene Uwoya, Jaquiline Wolper, Miriam Odemba, Flora Mvungi, Haji Mboto, Dominick Salamba, Hassan Bumbuli, Khamis Dacota, Jimmy Msindo na Jimmy Mafufu.

Post a Comment

0 Comments