tangazo

"Mimi nafamilia yangu tuko wazima" Rostam Abdulrasul Aziz

Mfanya biashara maarufu nchini Rostam Abdulrasul Aziz amesema kuwa yeye na familia yake ni wazima wa afya. Ameomba Watanzania kupuuza habari zinazosambaa kuhusu afya yake, na familia yake kwani ni za uongo.

Post a Comment

0 Comments