tangazo

Mwana FA katangaza nia ya kugombea Ubunge Mwaka huu 2020

NI April 27, 2020 ambapo mkali Mwana FAamefanya mahojiano kwenye kipindi cha XXLkinachorushwa Radio Clouds FM na kueleza nia yake  ya kugombea Ubunge Mwaka huu2020.
Kuhusu kugombea Ubunge mwaka huu 2020, Chama changu hakijaruhusu kuongea lakini ikifika muda nitasema, lakini nia ya kugombea Ubunge ninayo ila hata mambo ya kwamba Jimbo lipi nitagombea tusubiri” -Msanii Mwana FA
BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUTAZAMA VIDEO AKIZUNGUMZA.

Post a Comment

0 Comments