Tanzia: Lowassa apata pigo, Mdogo wake afariki dunia


Mdogo wa Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa anayefahamika kwa jina la Bernard Lowassa, amefariki Dunia usiku wa kuamkia leo, Aprili 28
Amefariki katika Hospitali ya Aga Khan jijini Dar es Salaam, alipokuwa akipatiwa matibabu. Inadaiwa alikuwa na matatizo ya kupumua

Bernard Lowassa alikuwa ni Mkurugenzi wa kampuni ya AGE Insurance Brokers

Post a Comment

0 Comments