tangazo

VIDEO: “Najitegema, sijapangiwa nyumba” Msanii wa Alikiba

Mwimbaji Tommy Flavour ambaye yupo kwenye record label ya king’s musicinayoongozwa na Alikiba amefunguka kuhusu yeye kujitegemea na kueleza kwamba haishi kwenye nyumba aliyopewa na Alikiba na Pia hafikirii kuhama lebo.
Bonyeza PLAY hapa chini kutazama akifunguka
VIDEO: Esha Buheti hataki mchezo, kavuta gari jipya na kufunga haya

Post a Comment

0 Comments