tangazo

Virusi vy corona: Jinsi Korea Kusini ilivyofanikiwa kuzuia maambukizi ya corona

Watu walioaga dunia kutokana na virusi vya corona Korea Kusini ni 63


Watu walioaga dunia kutokana na virusi vya corona Korea Kusini ni 63Haki miliki ya pichaGETTY IMAGES
Image captionWatu walioaga dunia kutokana na virusi vya corona Korea Kusini ni 63

Virusi vya corona vilitambuliwa rasmi kama janga.
China, Italia, Iran na Korea Kusini hadi kufikia leo ni miongoni mwa mataifa yaliyoathirika zaidi ya usambazaji wa virusi vya corona, na serikali zao zimechukua hatua kukabiliana na usambaaji wa virusi hivyo.
China ilitenga miji na kujenga hospitali chini ya wiki moja kukabiliana na hali hiyo ya dharura huku serikali ya Italia ikitangaza hatua za kujitenga katika eneo zima la rasi hiyo.

Coronavirus

Lakini kuna kisa kimoja ambacho kinachukuliwa kama mfano wa kuigwa: Korea Kusini.
Licha ya kwamba idadi kubwa ya watu waligunduliwa na virusi vya corona, idadi ya vifo ilikuwa asilimia 0.6 chini zaidi ikilinganishwa na Marekani, Italia na Iran.
Ramani inayoonesha usambaaji wa virusi vya Corona: Kote Duniani hadi kufikia Aprili 6, 2020
Je, Korea Kusini imefanikiwa vipi kukabiliana na virusi vya corona na je nchi zingine zinaweza kujifunza nini?
"Korea Kusini ilifanya kampeni makhususi ya kupambana na virusi vya corona. Serikali ilitangaza kwamba vituo vyote vya afya vianze kupima ugonjwa wa Covid-19 nyakati za mwanzo mwanzo katika maeneo yaliyoathirika zaidi," anaelezea Bugyeong Jung, mwanahabari wa BBC kitengo cha Korea Kusini.
Mfano wa hili ni kwamba licha ya kuwa Marekani na Korea Kusini zote zilitangaza visa vya kwanza vya corona siku moja, (Januari 20), hadi wiki hii ilikuwa imepima watu 4,300 katika eneo lake.
Korea Kusini, upande wake, ilipima watu 196,000.
"Ingawa njia hii wengi wanasema ni kama uvamizi, imefanikiwa kuokoa maisha ya watu wengi," ameongeza Jung.

Halaiki ya watu kupimwa kwa wakati mmoja

Janga hilo lilipotokea, mwishoni mwa 2019 kaskazini mwa China, wengi wangetabiri kwamba mataifa jirani ndio yangekuwa ya kwanza kuathirika.
Januari 20, Korea Kusini ilithibitisha kisa chake cha kwanza cha virusi vya corona.
Punde tu, mfumo wa afya wa Korea Kusini ukabaini kitovu cha janga hilo nchini humo: Mji wa Daegu, eneo la kaskazini, ambapo robo tatu ya visa vyote vya ugonjwa wa covid-19 vilithibitishwa nchini humo.
Na kati ya visa hivyo, asilimia 63 ya maambukizi yalikuwa yanahusishwa na kundi la kidini kama la Church of Jesus huko Shinchonji, dhehebu ambalo linaendeleza kazi ya Lee Man-hee, mwanzilishi wake.
"Korea Kusini imekuwa ikijitayarisha kukabiliana na janga hili tangu mwaka jana, wakati ilipokumbwa na ugonjwa wa MERS (ugonjwa wa matatizo ya kupumua uliosambaa sana nchi za Mashariki ya Kati)," anasema Jung.

Daegu ni mji wa Korea Kusini ambapo mlipuko huo ulianzia miongoni mwa mataifa ya bara AsiaHaki miliki ya pichaGETTY IMAGES
Image captionDaegu ni mji wa Korea Kusini ambapo mlipuko huo ulianzia miongoni mwa mataifa ya bara Asia

Mkakati huo ulioratibiwa na Wizara ya Afya ya Korea Kusini, ulianzishwa kuanzia siku ya kwanza: ukiwa ni mtandao makhususi wa kupima virusi hivyo ukilenga kupunguza idadi ya vifo.
"Kubaini virusi hivyo mapema ni muhimu ili kuweza kugundua walioathirika na virusi hivyo na hilo litawezesha kuzuia kusambaa ama kupunguza kasi ya usambaaji," Park Neunghoo, Waziri wa afya wa Korea Kusini amezungumza na shirika la CNN.
"Hili pia limewezesha kuwa na mipango mizuri katika mfumo wa Afya, kwasababu asilimia 10 tu ya waliokuwa wameambukizwa walihitaji kuwa hospitali, " aliongeza.
Kwa wataalamu, mbinu iliyotumiwa na Korea Kusini ndio yenye kuchangia matokeo bora zaidi kwasababu inawezesha kuona kiuhalisia kile kinachoendelea.
"Korea Kusini imekuwa ikifuatilia watu 10,000 kwa siku, wengi wao wakiwa ni wale waliothibitishwa kuwa na virusi hivyo na walionesha dalili za wastani," Profesa wa chuo kikuu cha Hong Kong mtaalamu wa magonjwa ya kuambukiza Benjamin Cowling ameiambia BBC World .
China, Italia, Iran na Korea Kusini hadi kufikia leo ni miongoni mwa mataifa yaliyoathirika zaidi ya usambaaji wa virusi vya corona, na serikali zao zimechukua hatua kukabiliana na usambaaji wa virusi hivyo.
China ilitenga miji na kujenga hospitali chini ya wiki moja kukabiliana na hali hiyo ya dharura huku serikali ya Italia ikitangaza hatua za kujitenga katika eneo zima la rasi hiyo
Lakini kuna kisa kimoja ambacho kinachukuliwa kama mfano wa kuigwa: Korea Kusini.
Licha ya kwamba idadi kubwa ya watu waligunduliwa na virusi vya corona idadi ya vifo ilikuwa asilimia 0.6 chini zaidi ikilinganishwa na Marekani, Italia na Iran.
Ramani inayoonesha usambaaji wa virusi vya Corona: Kote Duniani hadi kufikia Aprili 6, 2020
Je Korea Kusini imefanikiwa vipi kukabiliana na virusi vya corona na je nchi zingine zinaweza kujifunza nini?
"Korea Kusini ilifanya kampeni makhususi ya kupambana na virusi vya corona. Serikali ilitangaza kwamba vituo vyote vya afya vianze kupima ugonwa wa covid-19 nyakati za mwanzo mwanzo katika maeneo yaliyoathirika zaidi," anaelezea Bugyeong Jung, mwanahabari wa BBC kitengo cha Korea Kusini.
Mfano wa hili ni kwamba licha ya kuwa Marekani na Korea Kusini zote zilitangaza visa vya kwanza vya corona siku moja, (Januari 20), hadi wiki hii ilikuwa imepima watu 4,300 katika eneo lake.
Korea Kusini, upande wake, ilipima watu 196,000.
"Ingawa njia hii wengi wanasema ni kama uvamizi, imefanikiwa kuokoa maisha ya watu wengi," ameongeza Jung.

Wakosoaji

Lakini mkakati huo pia umekosolea.
Mwanahabari wa BBC Hyung Eun Kim anasema inasemekana kwamba taarifa ambazo serikali imejua na inasambaza ni pamoja na jirani yako aliyepata virusi vya corona ambako kumepata upinzani mkali.

Mbali na vipimo vingi ili kuwagundua walioambukizwa , kuna muda wa kuosha treni, subway na mabasiHaki miliki ya pichaGETTY IMAGES
Image captionMbali na vipimo vingi ili kuwagundua walioambukizwa , kuna muda wa kuosha treni, subway na mabasi

"Kuna hofu ambayo imejengwa kati ya watu wa miji mbalimbali. Kila wakati watu wanapokea taarifa kuhusu watu walioambukizwa katika simu zao," anasema mwanahabari huyo.
"Hilo limesababisha wengi kuomba serikali kutoweka wazi taarifa zao binafsi, kwasababu ya athari ambazo zinaweza kutokea baada ya hapo," aliongeza.
Mkakati huo unaonekana kufanikiwa kwa kuzingatia idadi ya wanaoambukizwa katika kipindi cha siku 11, ambacho kimefanya serikali kufikiria kwamba tayari janga hilo limeshafikia kilele chake na kwamba sasa hali ilivyo ni kuwa umeanza kudhibitiwa.
Hatahivyo, Jumatano, waziri mwenywe alitangaza kubainika kwa visa 90 ambavyo, na hilo linaongeza tena idadi ya walioambukizwa nchini humo.
Sababu kuu ilikuwa ni kugundua maambukizi kupitia kituo kimoja kilichopo mji mkuu wa Seoul.
"Maambukizi hayo katika kituo hicho huenda ikawa ni wimbi jipya la maambukizi na pengine linaweza kusababisha mlipuko na kusambaa tena kwa janga hilo," Park amesema hivyo katika taarifa.

Ramani ya Coronavirus: Kasi ya kusambaa kwa virusi 18 Aprili 2020

Maelezo haya yanatokana na data za mara kwa mara kutoka Chuo kikuu cha Johns Hopkins na huenda yasiangazie hali halisi ya mambo yalivyo katika kila nchi.


VisaVifo
Marekani700,89636,987
Uhispania190,83920,002
Italia172,43422,745
Ujerumani141,3974,352
France109,25218,681
Uingereza108,69214,576
Uchina83,7844,636
Iran79,4944,958
Uturuki78,5461,769
Belgium36,1385,163
Brazil34,2212,171
Canada32,8571,356
Urusi32,008273
Netherlands30,4523,459
Uswizi27,0781,327
Ureno19,022657
Austria14,595431
India14,352486
Ireland13,980530
Peru13,489300
Sweden13,2161,400
Israel12,982151
Korea Kusini10,653232
Japan9,787190
Chile9,252116
Ecuador8,450421
Poland8,379332
Romania8,067411
Saudi Arabia7,14287
Denmark7,073336
Kashmir inayotawaliwa na Pakistan7,025135
Norway6,937161
Mexico6,875546
Jamuhuri ya Czech6,549173
Australia6,53367
Milki za Kiarabu6,30237
Indonesia5,923520
Ufilipino5,878387
Serbia5,690110
Malaysia5,25186
Singapore5,05011
Belarus4,77942
Qatar4,6637
Ukrain4,662125
Panama4,210116
Jamuhuri ya Dominica4,126200
Finland3,48982
Luxembourg3,48072
Colombia3,439153
Misri2,844205
Afrika Kusini2,78350
Argentina2,758129
Thailand2,70047
Morocco2,564135
Algeria2,418364
Moldova2,26456
Ugiriki2,224108
Bangaldesha1,83875
Croatia1,81436
Hungary1,763156
Iceland1,7549
Bahrain1,7407
Kuwait1,6585
Kazakhstan1,54617
Iraq1,48281
Estonia1,45938
New Zealand1,42211
Uzbekistan1,4054
Azerbaijan1,34015
Slovenia1,30466
Bosnia na Herzegovina1,21446
Armenia1,20119
Lithuania1,14933
Macedonia Kaskazini1,11749
Oman1,0696
Puerto Rico1,06858
Slovakia1,0499
Cameroon1,01722
Cuba92331
Afghanistan90630
Tunisia86437
Bulgeria84641
Cyprus75012
Djibouti7322
Mili ya Diamond Princess71213
Andorra69635
Cote d'voire6886
Latvia6825
Lebanon66821
Costa Rica6494
Ghana6418
Niger62718
Burkina Faso55735
lbania53926
Uruguay5089
Nigeria49317
Bolivia49331
Kyrgystan4895
Kosovo48012
Guinea4773
Honduras45746
San Marino43539
Malta4223
Jordan4077
Maeneo ya Wapalestina4022
Kisiwa cha Reunion402
Taipei ya China3956
Georgia3703
Senegal3422
Mauritius3249
Montenegro3035
Isle of Man2914
Jamuhuri ya kidemokrasia ya Congo28723
Vietnam268
Kenya24611
Mayotte2454
Sri Lanka2447
Guernsey2369
Jersey23411
Venezuela2279
Guatemala2147
Paraguay2028
Visiwa vya Faroe184
El Salvador1777
Mali17113
Jamaica1635
Martinique1588
Tanzania1475
Guadeloupe1458
Rwanda143
Congo1436
Guam1365
Brunei Darussalam1361
Gibraltar132
Cambodia122
Madagascar117
Somalia1166
Trinidad and Tobago1148
Gabon1081
Aruba962
Ethiopia963
Guiana ya Ufaransa96
Myanmar945
Monaco943
Bermuda835
Togo835
Liechtenstein791
Equitorial Guinea79
Liberia767
Barbados755
Sudan6610
Guyana636
Visiwa vya Cayman611
Netherlands Antilles579
Cape Verde561
Uganda55
Polynesia ya Ufaransa55
Bahamas549
Zambia522
Visiwa vya Virgin vya Marekani512
Libya491
Guinea_Bissau43
Haiti433
Syria382
Benin351
Eritrea35
Saint Martin (Eneo la Ufaransa)352
Mozambique34
Mongolia31
Nepal30
Maldivers29
Chad27
Sierra Leone26
Zimbabwe243
Antigua na Barbuda233
Jamuhuri ya kidemokraia ya watu wa Lao19
Angola192
Timor_Leste18
New Caledonia18
Belize182
Fiji17
Eswatini171
Malawi172
Dominica16
Namibia16
Saint Lucia15
Botswana151
Grenada14
Netherlands Antilles141
Saint Kitts na Vevis14
Visiwa vya Kaskazini vya Mariana132
Jamuhuri ya Afrika ya Kati12
St St Vincent na Gradines12
Turks nad Visiwa vya Caicos111
Greenland11
Montserrat11
Visiwa vya Falkland11
Ushelisheli11
Suriname101
Gambia91
Nicaragua91
Mili ya MS Zaandam92
Vatican8
Papua News Guinea7
Mauritania71
Saint Barthélemy6
Milki ya Magharibi mwa Sahara6
Burundi51
Bhutan5
Sao Tome and Principe4
Visiwa vya Virgin vya Uingereza4
Sudan Kusini4
Anguilla3
Yemen1
Saint Pierre na Miquelon1Chanzo: Chuo kikuu cha Johns Hopkins, maafisa wa eneo
Mara ya mwisho kufanyiwa mabadiliko 18 Aprili 2020, 07:00 GMT +1.
Post a Comment

0 Comments