tangazo

Waziri Jaffo anazungumza mkakati juu wanafunzi waliopo majumbani kipindi hiki cha Corona

NI Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Seleman Jafo ambae muda huu anazungumza na waandishi wa habari kuhusu mikakati ya Serikali kwa Wanafunzi walio majumbani kwa kipindi hiki cha Janga la Corona Virus.
KIM JONG UN AMEJIFICHA KUKWEPA CORONA, TRUMP ASEMA ANAJUA KILA KITU “NIMEZUIA VITA YA USA NA KOREA”

Post a Comment

0 Comments