tangazo

Askari aliyemuokoa mtoto aliyetupwa kwenye shimo la choo apandishwa cheo

Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji John Masunga amempandisha cheo Danis Minja kutoka cheo cha Constable na kuwa Koplo kutokana na ujasiri wake wa kuingia kwenye shimo la choo na kumuokoa Mtoto ambaye alitelekezwa katika Wilaya ya Ngara, Kagera

Mtoto mdogo alitelekezwa na kutupwa kwenye shimo la choo cha shule ya msingi Murugwanza iliyopo Wilayani Ngara.

Post a Comment

0 Comments