tangazo

BREAKING NEWS: Rais Magufuli Amteua Mwigulu Nchemba Kuwa Waziri wa Katiba na Sheria

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Dkt. Mit-igulu Lameck Nchemba (Mbunge Maghaliloj kuwa Waziri Katiba na Sheria. Uteuzi wa Dkt.

Mwigulu Lameck Nchemba unaanza leo tarehe 02 Mei, 2020. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba anachukua nafasi ya BalohDkt. Augustine Philip Mahiga aliyefanki dunia jana tarehe 01 Mei, 2020. Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, IKIJLU Chato 02 Mei, 2020.

Post a Comment

0 Comments