Breaking: Rais Magufuli afanya uteuzi huu

Rais Magufuli amemteua Dkt. Delphine Magere kuwa Katibu Tawala Mkoa wa Pwani akichukua nafasi ya Theresia Mmbando ambaye amestaafu,kabla ya uteuzi Magere alikuwa Ofisi ya Rais akishughulikia masuala ya uchumi.

Rais Magufuli amemteua pia Dunstan Kyobya kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mtwara akichukua nafasi ya Evod Mmanda aliyefariki Dunia, kabla ya uteuzi Kyobya alikuwa Mshauri wa Rais katika masuala ya sheria.

Post a Comment

0 Comments