tangazo

CORONA: marekani wafariki watu 74,807 asubuhii ya leo

Vifo vya corona vimeendelea kuongezeka Marekani ambapo hadi asubuhi hii wamefariki Watu 74,807, maambukizi pia yanaongezeka Marekani, ina maambukizi  1,263,197 na wamepona Watu 213,109, Italia vifo 29,684 na maambukizi 214,457, Hispania vifo 25,857 na maambukizi 253,682.
GOD save America, GOD save the World.

Post a Comment

0 Comments