tangazo

Davido atangaza ujio wa collabo yake na Nicki Minaj

Nyota wa muziki kutoka Nigeria Davido ametangaza kuja na Collabo yake na rapper wa kike kutoka Marekani, Nicki Minaj.

Kupitia ukurasa wake wa twite mapili hii Davido aliandika (OBO X NICKI MINAJ) kisha kuweka wazi kuwa ngoma hiyo imetayarishwa na mkali kutoka NigeriaSperoach.

Sambamba na hiloDavido pia ametangaza uwa anakuja na album yake mpya iitwayo "A BETTER TIME" ambayo ataiachia mwezi Julai mwaka huu.

Davido anaendelea kufungua mipaka ya muziki wake baada ya kukamilisha kazi mbalimbali na wasanii wakubwa kutoka nchini Marekani, wakiwemo

Post a Comment

0 Comments