tangazo

DC JOKATE “Kisarawe tunazalisha PPE zetu, barakoa na sanitizer kupambana na corona”

Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Jokate Mwegelo amesema Hospitali Ya Wilaya Kisarawe katika kuwalinda wahudumu wa afya walio mstari wa mbele katika mapambano ya #covid19 imeanza kuzalisha mavazi maalum ya kujikinga (PPE)>> “tulishaanza pia kuzalisha barakoa na vitakasa mikono, vyote tayari vinapatikana kwenye pharmacy yetu, wilayani kwa sasa”

“Kuhusiana na ubora wa vazi letu la PPE linalozalishwa katika Hospitali ya Wilaya ya Kisarawe, Quality yake ni kama ile ya Muhimbili kwa maana ya material iliyotumika ila, kwa uimara yetu imeongezwa uimara wa ndani kuzuia isichanike/kutatuka haraka wakati wa kuitumia, naipongeza Emergency Team yetu ya afya kwa ubunifu na kujiongeza”– DC JOKATE

CORONA TANZANIA: VIFO VYAFIKIA 21, MAAMBUKIZI YAFIKIA 509 “WAGONJWA 72 WANAPATA TIBA MAJUMBANI”

Post a Comment

0 Comments