tangazo

DC Kigamboni ampongeza Rais Magufuli, awataka Watanzania kumuombea

Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni, Sarah Msafiri amempongeza Rais Magufuli kwa namna anavyochukua hatua kwenye janga la ugonjwa wa Corona huku akiwataka Watanzania kuachana na taarifa zinazopotoshwa kwenye mitandao ya kijami kuhusiana na ugonjwa huo

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI......USISAHAU KUSUBSCRIBE


Source: Muungwana

Post a Comment

0 Comments