Donald Trump avunja ukimya mbele ya China

Rais Donald Trump wa Marekani amesema hivi karibuniataweka ushahidiwote hadharani kuhusu namna ya China ilivyotengeneza virusi vya corona katika maabara eneo la Wuhan , Trump hajaeleza kwa undani kuhusu ni lini au wapi atazitolea taarifa hizo lakini amesisitiza ataanika kila kitu

Post a Comment

0 Comments