tangazo

Hospitali inayowatibu watu wa corona imewaka moto, watano wafariki dunia na 150 waokolewa

Watu watano wamefariki Dunia huku wengine takribani 150 wakifanikiwa kuokolewa baada ya Hospitali inayowatibu wagonjwa wa virusi vya corona kuwaka moto St. Petersburg Urusi, Wagonjwa kadhaa wanaripotiwa kujeruhiwa

ADVERTISEMENT

Post a Comment

0 Comments