tangazo

Hospitali ya Kisarawe yaanza kuzalisha PPE


Hospitali Ya Wilaya Ya Kisarawe katika kuwalinda wahudumu wetu wote wa afya waliomstari wa mbele katika mapambano haya ya #covid19 tumeanza kuzalisha PPE zetu. Pamoja na hayo tulishaanza kuzalisha barakoa na vitakasa mikono vyote tayari vinapatikana kwenye famasia/pharmacy yetu.

Post a Comment

0 Comments