tangazo

JPM Aibua madudu vipimo vya corona /mbuzi, fenesi vyote vina corona''


'' Mbuzi awe na corona,fenesi liwe na corona , ndege kware awe na corona , lazima tujiulize inawezekana kuna kitu fulani hakijaeleweka Tanzania na hata duniani hakijaeleweka , natoa wito kwa wanasayansi Nchi nyengine wachukuwe sampuli za wanyama , ukute na yoyote wataamini ninachosema

kama tunapeleka sampuli za wanyama zinakutwa positive inawezekana wafanyakazi wa maabara wanatumika na mabeberu, kama mapapai , mbuzi yana corona WHO wanapaswa kufanya kazi ya ziada , kwa hili lililotokea lazima kuna watu wameambiwa wana corona wakati hawana''. JPM

Post a Comment

0 Comments