tangazo

JPM amuombolezea Waziri Mahiga "Pamoja na umri wake mkubwa Balozi Mahiga alikuwa mtiifu katika kila jukumu nililomtuma"

Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli ametangaza kwa masikitiko kifo cha  waziri wa katiba na sheria Mhe. Augustino Mahiga kilichotokea leo alfajiri mei 1, 2020 Jijini Dodoma.


Post a Comment

0 Comments