tangazo

JPM:'' Papai likakae karantini'' ajabu

''Oil ya gari tuliipa jina Hamza miaka 30 ikawa negative, fenesi tuliita Sarah Samwel , papai tuliita jina Elizabeth Anne mwenye miaka 26likakutwa lina corona , kware positive, mbuzi positive, kondoo negative, maana yake mapapai yote yapelekwe karantini? ajabu hii maabara zina matatizozichunguzwe.

mambo ya kucopy na kupaste Nchui hii hatuwezi kufanya, wapo wenzetu waliofunga mipaka au shughuli za kiuchumi mnaona wanavyoteseka , sisi mpaka sasa tuna vifo 16 , huu jni wakati wa kuwapima watu imanihata viongozi wa dini, unawazuiaje watu kwenda kuabuduna msikiti au kanisa haujajenga wewe!.''- JPM

Post a Comment

0 Comments