tangazo

Kiongozi wa upinzani Burundi kuwasilisha mashtaka mahakamani

Agathon Rwasa, kiongozi wa chama cha upinzani cha CNL anapinga matokeo ya uchaguzi yaliyotangazwa na tume ya taifa ya uchaguzi yanayompatia ushindi Evariste Ndayishimiye wa chama cha CNDD-FDD.

Tume ya uchaguzi ya Burundi, imemtangaza Jenerali wa zamanı Ndayishimiye kuwa mshindi wa uchaguzi huo baada ya kupata asilimia 68.72 ya kura, 

Post a Comment

0 Comments