tangazo

Ligi kuu ya Ujerumani kurejea Mei 22 mwaka huu

Ligi Kuu ya Ujerumani (Bundesliga) sasa itarejea May 22 na sio 15 kama ilivyoripotiwa awali sababu ya Chancellor wa Ujerumani Angel Merkel kuagiza kuwa soka Ujerumani litarejea timu za madaraja yote zikimaliza karantini ya siku 14

Post a Comment

0 Comments