tangazo

Maambukizi Kenya yafikia 411, vifo 21

Wizara ya Afya Kenya imesema wagonjwa wengine 15 wa corona wameongezeka na kufanya idadi ya maambukizi ya jumla ya corona kufikia 411 kutoka 396, vifo vingine vinne vya corona vimeongezeka pia na sasa vifo vya corona vimefikia 21 kutoka 17, wamepona Watu 150.

Post a Comment

0 Comments