tangazo

Manchester United yawarudisha wachezaji wake Uingereza

Man United imewataka wachezaji wake walioko nje ya England, warejee nchini humo wiki hii tayari kwa kuanza mazoezi kufuatia mipango ya kurejea kwa ligi mwezi Juni mwaka huu. Baadhi ya wachezaji hao ni Bruno Fernandes, Fred, Victor Lindelof na Sergio Romero.

Post a Comment

0 Comments