tangazo

Mazungumzo ya mkataba kati ya Sebastian Vettel na timu yake ya Ferrari yavunjika

Mazungumzo ya kuboresha mkataba kati ya Dereva Sebastian Vettel na timu yake ya Ferrari yamevunjika bila muafaka wowote, hivyo Mjerumani huyo ambaye ni bingwa wa dunia mara nne kwenye mbio za magari za Formula1, anatarajia kuachana na timu hiyo.

ADVERTISEMENT

Post a Comment

0 Comments