tangazo

Mbunge wa Lushoto agundua dawa ya corona

Mbunge wa Lushoto Shabani Shekilindi, amedai amegundua dawa inayotibu ugonjwa wa Corona, ambapo kwa sasa ameikabidhisha serikalini ili kupata uthibitisho wa Maabara.

Shekilindi ameeleza mpaka sasa ameshatibia wagonjwa zaidi ya 30 na wote wamepona

Post a Comment

0 Comments