tangazo

Meya wa Ubungo Boniphace Jacob afukuzwa uana chama Chadema

Meya Manispaa Ubungo Boniphace Jacob amefukuzwa uanachama wa Chadema hali inayopelekea Kupoteza Nyadhifa zake zote ndani ya Chama hicho cha  Chadema ikiwemo Udiwani kata ya Ubungo.

Chanzo cha Kufukuzwa Uanachama ni Makosa ya Utovu Nidhamu, Kukigawa Chama na kushindwa kutekeleza Ilani ya Chadema Ikiwemo Kufanya mikutano ya Hadhara.Post a Comment

0 Comments