tangazo

Mwenyekiti wa madiwani ACT Wazalendo atimkia CCM

Mwenyekiti wa madiwani wa chama cha ACT - Wazalendo Manispaa ya Kigoma Ujiji ambaye pia ni diwani Kata ya Machinjioni, Shabani Hussein ametangaza kukihama chama hicho na kujiunga na CCM na kupokelewa na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Kigoma, Amandus Nzamba.

ADVERTISEMENT

Post a Comment

0 Comments