tangazo

Rais Magufuli leo tarehe 3,2020 atamuapisha Dkt. Mwigulu Nchemba

Rais wa Tanzania , Dkt. Magufuli leo tarehe 3 Mei, 2020 atamuapisha Dkt. Mwigulu Nchemba kuwa Waziri wa katiba na sheria, Wilayani Chato ,Mkoa wa Geita. Mwigulu aliteuliwa jana kushika wadhifa huo akichukuwa nafasi ya Balozi Agustine Mahiga ambaye amefariki dunia

Post a Comment

0 Comments