tangazo

RC Simiyu ametangaza mpango wa shule kufundishwa kidijitali

RC Simiyu, Anthony Mtaka, ametangaza mpango maalumu wa Shule za Msingi na Sekondari mkoani humo, kuanza kufundisha masomo kidijitali, katika kipindi hiki cha likizo ya Corona na kwamba masomo hayo yatawafikia wanafunzi moja kwa moja wawapo majumbani, kupitia walimu wao.

Post a Comment

0 Comments