tangazo

Serikali imetoa vibali Tani 40 za sukari kuingia Tanzania ila zimekwama- Waziri Bashungwa

"Serikali tumeamua kutoa ukomo wa bei ya sukari baada ya kuona wafanyabiashara wanahodhi sukari, tunafuatilia na wafanyabiashara hawa watachukuliwa hatua, corona ni janga la Dunia, Serikali imetoa vibali Tani 40 kuingia Tanzania ila zinakwama kwasababu ya changamoto za Meli ambazo zinasitisha safari, lakini bado tunapambana, hatulali" - Waziri wa Viwanda na Biashara Innocent Bashungwa

Post a Comment

0 Comments