tangazo

Spika Ndugai afunguka kuhusu wabunge waliofukuzwa Chadema

"Wabunge mnaapishwa na Spika na karibu wote nimewaapisha mimi hapa, sasa Wabunge wangu niliowaapisha yaani msiwe na wasiwasi, hakuna cha nini wala nini vikao vya majungu hivyo havifanyi kazi, eti mtu mmoja katika Nchi hii anajifanya yeye ana mamlaka ya kufukuza Wabunge anavyotaka hii haiwezekani, mliofukuzwa endeleeni kuhudhuria Bungeni tutawalinda"-Spika Job Ndugai

ADVERTISEMENT

Post a Comment

0 Comments