tangazo

VIDEO: Kuanzia leo asiyevaa barakao tunamkamata tunamuweka ndani - Meya IlalaDar es salaam amewataka wafanyabiashara katika Machinjio ya Vingunguti kufuata maelekezo yanayotolewa na wataalam wa afya katika kipindi hiki cha janga la Corona ikiwemo kunawa mikono, kuvaa barakoa na kuepusha misongamano isyokua ya lazima.

TAZAMA FULL VIODEO HAPA CHINI......USISAHAU KUSUBSCRIBE 

Post a Comment

0 Comments