tangazo

VIDEO: Wabunge waliomgomea Mbowe wafukuzwa CHADEMAChama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kimewachukulia hatua ya kuwafuta Uanachama Wabunge wake ambao wameenda kinyume na maagizo ya Chama hicho na kuonesha utovu wa nidhamu kwa kutoa kashfa kwa chama, huku baadhi yao wakitakiwa kujieleze kwanini wasichukuliwe hatua zaidi kwa kukiuka maagizo

ADVERTISEMENT


                  TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.......USISAHAU KUSUBACRIBE

Post a Comment

0 Comments