tangazo

Waziri Mkuu atoa taarifa mpya ya wagonjwa wa Corona ''Amana amebaki mmoja''

Leo Mei 24 Waziri Mkuu Tanzania, Kassim Majaliwa ameeleza kupunguwa kwa wagonjwa walioambukizwa virusi vya corona waliokuwa wamelazwa katika hospitali maalum kadhaa nchini. Majaliwa ameyasema hayo leo aliposhiriki swala ya Eid el Fitr katika Msikiti wa Gaddafi jijini Dodoma.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.....USISAHAU KUSUBSCRIBE 

Post a Comment

0 Comments