tangazo

Vifo vitokanavyo na corona vyafikia 1691 Afrika

Takwimu kutoka WHO Afrika leo May 02,2020 zinaonesha vifo vya corona Afrika vimefikia 1691 huku jumla ya maambukizi ya corona Afrika nzima ikifikia 40,635, Algeria inaongoza kwa vifo ambavyo vimefikia 453 na maambukizi 4,154 ikifuatiwa na Misri yenye vifo 406 na maambukizi 5,895.

Post a Comment

0 Comments