tangazo

Virusi vya corona: Jinsi sherehe ya kumbukumbu ya kuzaliwa ya mwaka wa 100 ilivyogeuka tukio la kitaifa.

Zaidi ya kadi 125,000 kutoka kote duniani zimekua zikitumwa kumtakia kapteni Tom Moore furaha katika kumbukumbu yake ya miaka 100 ya kuzaliwa. Kuvunja rekodi ya kuchangisha pesa za msaada kumemfanya mpiganaji huyo wa zamani The war veteran'sshujaa kote duniani. Kadi za kumtakia kheri Kapten Tom zimekua zikiwekwa kwenye ukumbi wa shule kwa ajili ya kupigwa picha

Post a Comment

0 Comments