Virusi vya Corona: Serikali ya Tanzania ya pambana kikamilifu na Kwa akiri sana, jitihada zake ni madhubuti

Wananchi wa Tanzania waridhishwa sana jinsi Serikali ya Tanzania inavozidi kujitahidi sana kupambana na gonjwa hili la Corona. Serikali ya Tanzania uhakika ni mfano wa kuigwa na mataifa mengine Afrika lakini na Duniani kote. 

Shirika la Afya Duniani WHO Limerudia maneno Yale yale yaliyokua yakitumiwa na serikali ya Tanzania kueleza namna ya kupambana na Corona kuwa Covid 19 tutaendelea kuwa nayo kwa mda kitambo hivo watu wanatikiwa kujifunza namna ya kuendana na hali hii.

Wizara ya afya imekuja na mkakati kazi mpya wa kusambaza wataalamu wa Afya wakufuatilia tetesi zozote za watu wanaoshukiwa Wenda kuumwa na ugonjwa huu wa Covid 19. Wamepewa jina la Health Command, hawa watakua msitari wa mbele katika mapambano haya.

Waziri wa Afya Ummy Mwalimu

Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema Watanzania wanapaswa kujifunza namna ya kuishi na ugonjwa wa Covid -19 unaosababishwa na virusi vya Corona kwa sababu bado ugonjwa huo utaendelea kuwepo kwa miezi kadhaa.

Tuendelee kufanya kazi zote kiuchumi na uzalishaji huku tukichukua tahadhari zote za Afya. Tusiache kufanya kazi.

Post a Comment

0 Comments