tangazo

Wabunge wa CHADEMA waliokiuka agizo la Mbowe watakiwa kujieleza

“Kuhusu Wabunge wengine ambao wamekwenda kinyume na maagizo ya Chama lakini hawajaonesha utovu wa nidhamu kwa kutoa kashfa kwa Chama, watatakiwa wajieleze kwanini wasichukuliwe hatua zaidi kwa kukiuka maagizo” -John Mnyika, Katibu Mkuu CHADEMA

ADVERTISEMENT

Post a Comment

0 Comments