tangazo

Wabunge waliokiuka agizo la RC Makonda la kurejea bungeni watakiwa kuripoti polisi

Baada ya agizo la mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam kutoa masaa 24 kwa wabunge ambao wapo Dar kurejea Bungeni leo jeshi la polisi limetoa agizo kwa wale ambao bado hawajaondoka kwa hiyari yao wanatakiwa kuripoti ofisi ya upelelezi kanda maalumu ya Dar es Salaam kwa mahojiano.

Post a Comment

0 Comments